THE FUNNIEST EVER

Tuesday, January 28, 2014

VIDEO ZA NGONO TANZANIA

           VIDEO ZA NGONO BONGO HATARI TUPU

Heri ya mwaka mpya kwa wasomaji wangu,baraka ziwafikie mwaka uende kwa amani.Leo nina dubwana moja ambolo sizuri kuacha likue bila ya kulikemea.Kutoka home Bongo kumekuwa na kuongezeka kwa video za ngono zinazo chezwa na baadhi ya wabongo wasio tambua maadili ya kiafrika hasa kwetu Tanzania.Wengi wao hufanya ili kupata sifa na kutafuta umaarufu pia wapo wanaopata ridhiki kupitia video za ngonoKutokana na malalamiko kutoka kwa wazawa walio wengi,Vijana choka pia haikubaliani na haya nasi pia tumechoka,Hapa si uwanja wake watafute uwanja sehemu nyingine thanks.
 
Share:
Location: East Africa

0 maoni:

Post a Comment

MAKTABA YETU

My Blog List

By Hilary A Ghasia. Powered by Blogger.