THE FUNNIEST EVER

Wednesday, March 27, 2013

WEMA NA JINA LAKE

                                       WE LOVE YOU WEMA

Yapaswa tujiulize mimi na wewe kwamba tumuweke kundi gani dada yetu mpendwa Wema, ni swali gumu sana ambalo litatoa  majibu ya kila aina.Basi msemo wa jina la mtu kuendana na tabia yake waweza kuoneka kuwa niwakweli,Baada ya hukumu iliyotolewa kwa dada Kajala na mumewe kutumikia kifungo kila mmoja kulingana na tuuma aliyo kutwa nayo ikiwa wangeshindwa kulipa faini ya mamilioni ya maela mahakamani kuwapa ndugu na marafiki  wakati mgumu kutokana na kukosa mshiko wakutosha kuwasaidia wapendwa hao.Faraja na upendo usio elezeka ulishuka ghafla mahali hapo baada ya dada Wema kujitolea kumsidia Kajala kiasi chote cha pesa na kumuokoa lafiki yake huyo na mateso gerezani. chek picha...........

Wema na Kajala nje ya mahakama

mahakamani


Share:

0 maoni:

Post a Comment

MAKTABA YETU

My Blog List

By Hilary A Ghasia. Powered by Blogger.