THE FUNNIEST EVER

Sunday, December 1, 2013

VICHEKESHO

Wazaramo watatu toka vijijini walienda mjini kumtembelea ndugu yao, walipofika wakakaribishwa soda wa kanywa.
Walipoondoka wakati wapo njiani mmoja akamnong’oneza mwenzie huku akimuonyesha kisoda cha soda aliyokunywa “mwenzio nimeondoka na mbegu, wewe je?”.................cHAO
Share:

0 maoni:

Post a Comment

MAKTABA YETU

My Blog List

By Hilary A Ghasia. Powered by Blogger.