THE FUNNIEST EVER

Friday, March 29, 2013

MAJONZI TUPU DAR ES SALAAM

            MAJONZI TUPU DAR ES SALAAM 

watu wapoteza maisha baada ya golofa 16 
zilizokuwa katika ujenzi  kupolomoka ghafla.
Inakisiwa idadi ya watu wasiopungua 60 
waliokuwa wakiendelea na ujenzi wamenasa 
kwenye vifusi.kufikia sasa ni 14 pekee walio 
okolewa. Idadi ya walio kufa mbaka sasa ni 
watu wawili huku ikiofiwa kuwa idadi hiyo
 yaweza kuongozeka kadri shughuli za uokoaji
 zinavyo endelea. Raisi kikwete pamoja na viongozi wengine wafika kushuhudia katika eneo la tukio.


picha zote ni kutoka kwa sulemani magoma blog

Share:

1 comment:

MAKTABA YETU

My Blog List

By Hilary A Ghasia. Powered by Blogger.