THE FUNNIEST EVER

Tuesday, July 23, 2013

SIMBA YA KAMILISHA KIKOSI  

kocha wa kikosi cha simba,Abdallah Kibadeni ametangaza kikosi cha kwanza ambacho kina kamilishwa na wachezaji kutoka ndani.Alisema kikosi kipo tayari kwa ligi mbalimbali na mashindano mengine,kikubwa kocha amesema awezi kukiweka kikosi hicho adharani kwa sasa mbaka ligi kuu itakapo anza.

kupitia mazoezi na mechi za kirafiki mlinda gori wa sasa ni Abel Dhaira raia wa Uganda,beki ya kulia Said Nassor,beki ya kushoto ni Issa Rashid na beki ya kati itachezwa na Rahim Juma,kocha ameonekana kumchezesha mara kwa mara Jonas Mkude kwenye safu za kiungo mkabaji wakati nafasi ya ushambuliaji ikishikiliwa na Amri Kiemba na wasaidizi wake ambao bado sija pata kuwa nyaka chomboni,winga ya kulia itachezwa na Haruna Chanongo atakaa winga ya kushoto wakati ya kulia itachezwa na Marcel Kaheza na mashambulizi ya kati yata fanywa na Mrundi Tambwe.Pia Kibadeni alitumia mda huo kutoa sababu iliyo leta kichapo cha 2-1 kwa timu yake katika mchezo na URA ya Uganda.

Share:

0 maoni:

Post a Comment

MAKTABA YETU

My Blog List

By Hilary A Ghasia. Powered by Blogger.