THE FUNNIEST EVER

Monday, August 5, 2013

SIFA KWENU MAMA NA DADAZ

                SIFA KWENU MAMA NA DADAZ

maisha magumu noma plan azipangiki nooma naona bora nitafute wachumba,so mnakaribishwa tuzungumze kuhusu matatizo yanayo tuzunguka

kwanza najua wazi madem ni wapenda amani na utulivu na hilo ni lengo langu kuu.Napenda kuwa takia  maandalizi mazuri ya IDI.,najua kuwa niwatu muhimu ambao kwa namna moja au nyingine ufanikisha kwa kiasi kikubwa sana ifikapo muda huu ongereni sana wakina mama na dadaz nawapenda sana

Endeleeni kuleta amani ,upendo,utulivu na furaha ya maisha yetu hapa duniani sikunjema
Share:

0 maoni:

Post a Comment

MAKTABA YETU

My Blog List

By Hilary A Ghasia. Powered by Blogger.