SIFA KWENU MAMA NA DADAZ
Maisha magumu noma,plan azipangiki nooma naona bora nitafute faraja,so mnakaribishwa tuzungumze kuhusu matatizo yanayo tuzungukakwanza najua wazi madem ni wapenda amani na utulivu na hilo ni lengo langu kuu.Napenda kuwa takia maandalizi mazuri ya IDI.,najua kuwa niwatu muhimu ambao kwa namna moja au nyingine ufanikisha kwa kiasi kikubwa sana ifikapo muda huu ongereni sana wakina mama na dadaz nawapenda sana
Endeleeni kuleta amani ,upendo,utulivu na furaha ya maisha yetu hapa duniani sikunjema






0 maoni:
Post a Comment