MATATIZO YA MITANDAO BONGO
WADAU KAZI KWENU
Napenda
kuchukua nafasi hii kufikisha machache ya muhimu niliyonayo.Leo
napenda kuzungumzia matatizo ya vyombo vyetu vya mawasiliano hasa
katika mitandao ya simu.kumekuwa na matatizo mengi kwenye huduma
mbalimbali na hofa zitolewazo na mitandao ya simu.Tatizo lakwanza sehemu
nyingi zilizo nahuduma za simu{zamkononi}network bado ni ya chini mno
kiasi kwamba huwa kuna ugumu wa kufaidika a huduma zote zitolewazo na
mitandao hiyo.Pili ni tofauti kubwa za tozo zitolewazo kutoka mitandao
hiyo.Tatu huduma hewa ambazo hutokea mara kwa mara kwa wateja.Nne
kukosewa kwa majina sahihi ya wateja kwenye usajili,mfano Juma Shamte [Juma hante}. Na mwisho kwa leo ni huduma ambazo huwa kero kwa wateja,huduma ambazo uchangaywa kwen
ye huduma nyingine muhimu ambazo usumbufu.
0 maoni:
Post a Comment