THE FUNNIEST EVER

Saturday, February 1, 2014

MAPENZI YA LEO

AKILI KATIKA MAPENZI

  1. Mpende yule anaye tambua machozi yako,na si yule anaye sababisha machozi.
  2. Mapenzi ya sasa si ya kuishi kwa wivu na mpenzio.
  3. jitahidi kumvumilia mpezio pale mnapo koseana ,wapenzi sikuizi ni wapenda amani,kukiwa na mikwaruzano tu basi nishida na mnaweza mkatengana kabisa.
  4. Ishi maisha yako na mpenzio kamwe usiige maisha ya wengine,hapa utajiepusha kuwa mtu usiye eleweka kwa mpenzio
  5. Jifunze kusahau mambo mabaya yanayo weza kuharibu mahusiano yenu
  6. jitahidi kumuonesha mwezio kuwa unampenda kwa moyo wote
  7. jitahidi kuficha makucha kwa mpenzio,ficha ubaya unao fanya juu yake 
  8. Jitahidi kuwa na ushirikiano na mwezio wakati wa shida na raha,hii uleta faraja kati yenu.
  9. Inapendeza kama utakuwa sababu ya furaha katika mapenzi yenu
  10. Unapo chunguza mienendo ya mpenzi wako jaribu kuwa makini asifahamu
    Share:

    0 maoni:

    Post a Comment

    MAKTABA YETU

    My Blog List

    By Hilary A Ghasia. Powered by Blogger.